PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Safi,mate yamenidondoka kimtindo.Msosi umetulia!!!
Hii kitu bhana nlikutana karanga imetiwa mchicha flani hivi tamu balaa tupu.Mboga gani hii mkuu
my oh my umenunua wapi hii msosi??!#Takeaway View attachment 1727088
Hii ni moja ya lishe bora kabisa, asilia [emoji817] [emoji817]
πππ unanitisha ex. Umebadilika sana, hukua hivi.Ooh kumbe umeamua lipunge upepo kwenye sahani mkuuπ€ afu dushe lina kiparaaa ni zuri mno yaniπ¬π¬
Usiogope ex wewe ndiye sababu ya mabadiliko haya, be proud of yourself π¬πππ unanitisha ex. Umebadilika sana, hukua hivi.
Hiyo mboga yake sijaielewaDona jaman iiiiihView attachment 1726734
Ha ha ha ha feni itahusikaHapa nipate mtindi au beer..halafu mtoto wa mtu yupo rum..hiyo sex yake sio ya kitoto.
#MaendeleoHayanaChama
We unakula sana mkuuUgali mdogo sana huo ndugu...