Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kumbe uko majuu hukoHaaah
Yop madame,ntarudi baada ya uchaguzi wa 2025 panapo majaaliwa InshAllah 🤲🏼Kumbe uko majuu huko
Wacha bwana[emoji7]leo nimejaribu kupika geto[emoji13] karibuni chaiView attachment 1730710
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu SanaYop madame,ntarudi baada ya uchaguzi wa 2025 panapo majaaliwa InshAllah [emoji2971]
yaaah...cjui nimeharibu[emoji18]nipe marks basWacha bwana[emoji7]
Uko vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ndio sitaki kusikia kabisa habari za visu sijui umma[emoji1787]
leo nimejaribu kupika geto[emoji13] karibuni chaiView attachment 1730710
Sent using Jamii Forums mobile app
Village life [emoji177][emoji2956][emoji2956]
Maziwa mtindiView attachment 1730748
Uwiii mkamu[emoji7]
I seenkamu tunaongeza unene tu
Cha ajabu mimi sinywi mtindimoja wapo ya chakula ninachopenda
A wapi mimi siwezi [emoji23]tujifunze lakini[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Uko vizuri
Unanizidi hadi mimi dada yako
A wapi mimi siwezi [emoji23]
Watu wa mbeya na umma wapi na wapi [emoji1787]
Pumbu za nguruwe, nimezichemsha na kuzikatakata vipande. Nataka niunge rost, pilipili, carrots, nyanya, limao kwa mbali, tangawizi nk
[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1730800