Cha ajabu mimi sinywi mtindi
Alisikika mdada mmoja hivi Simara ..[emoji23]..utaoa kweli wewe[emoji3]
Nilishashindwa kabisa kunywa mtindi[emoji846]Nkamu unapitwa sana mwe
Bro punguza broo
Uwii[emoji7]Pumbu za nguruwe, nimezichemsha na kuzikatakata vipande. Nataka niunge rost, pilipili, carrots, nyanya, limao kwa mbali, tangawizi nk
[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1730800
Daaa hii ndio nimetoka kuipiga sasa hivii hahaha
sawa dada[emoji23]Bro punguza broo
Unatudhalilisha dada zako[emoji23]
Nipe za mbuziZa kondoo xinafaa?
Nashindwa kutofautisha kati ya Chinese na spinach[emoji176]
ChineseView attachment 1730739
Ugal mdogo sana mamaa.umenitamanishaaaaa
Ukishushia na maji baridi unashiba kabisaUgal mdogo sana mamaa.umenitamanishaaaaa
Spinach inanoga kama mchicha hivi na majani yake malaini halafu yamejikunja Sana.Nashindwa kutofautisha kati ya Chinese na spinach
Leta Mnafu hizo nyingine chafuSpinach inanoga kama mchicha hivi na majani yake malaini halafu yamejikunja Sana.
Chinese ni Pana hivi na ngumu ngumu kiasi