Uzi wa vyakula tu

kwanini hauli kwa kutumia uma? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimejikuta nacheka maana mimi nimejifunza nimeshindwa huwa naishia kuaibika tu[emoji1787]
nimejifunza nimeshindwa pia
kuna sehemu ilikua ya heshima sana ukaletwa uma na kisu,
kwa kweli nilitumia mkono japo kundi lote lilibaki kunishangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…