dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Maandazi yametulia yanavutia sana!!
Khaaaaa!!!Rafiki umeanza haya mambo ya kukomoana lini?
Hii ni kitimoto ya Pemba au kibosho?🙃🙃🙃
Tatizo huwa unakula kitimoto wakati kwa shem wetu ni haram!😖😖😖Duh honey[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ile nyama kule mbona imekaa kama....
Hii nyama una utata sehemu mweeeeeeh,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu uzi watu washaingiza mawazo machafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mimi naona nyama tu!au ni huu uoni wangu hafifu!?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wadogo zako wa kiume wana vichololo sio dushe..
😂😂Sehemu gani cocastic ?Hii nyama una utata sehemu mweeeeeeh,
Daaah hapo lazima iume....[emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 1743504
😁😁😁Naweka turubai muda si mfupi[emoji2961][emoji2961][emoji2961]
HahaHapo upande wa juu wa plate.
Hiyo ni nyama tu mama kama nyama nyingineHapo upande wa juu wa plate.
Hayo mahindi sharti yawe teke mixer chai ya rangi yenye tangawizi ya kutosha[emoji39][emoji39]