I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Aah mi ntakuwa wa mwishoNapokea rambirambi[emoji19][emoji19][emoji19][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
BuchaniAiseee zinauzwa wapi?
Mme naona huna masihara kabisa linapokuja suala la msosi!๐๐๐
[emoji3064][emoji3064][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Leo nilipika vitu-mbua[emoji854][emoji854][emoji854]View attachment 1744122
๐๐Mme naona huna masihara kabisa linapokuja suala la msosi!๐๐๐
Mme naogopa kuchekwa na watu vile utakuwa unabugia msosi kama mashindano vile!๐๐๐๐๐
Alafu siku unitoe out tukale wote wifey au unaonaje?๐๐
Naam hii kweli mboga saba, big up sana!Mboga saba View attachment 1744191
Niliifanya sana hii tabia nikiwa mdogo! ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃNiko njianiView attachment 1740284
Leo wali mchafu tuu ndio una trendMboga saba View attachment 1744191
FutariKitu cha muhogo wa nazi na jodari. View attachment 1720266
Hapa naeza tengeza bonge la taco ๐ฎ ๐Simple[emoji7][emoji7]View attachment 1743339
Aaaaaaaaah!!!! Haiwezekani, naokota, naosha tena naunda supu jingine. Staki mchezo! ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ[emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 1743504
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]