Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 798
- 2,028
Leo pumzika usiandae futari, nakuleteaKawali kafutari [emoji39]View attachment 1777532View attachment 1777534
Saa za kufuturu hazijafika!Kawali kafutari [emoji39]View attachment 1777532View attachment 1777534
Hii mechi yafaa barobaro ka mimi na timu yangu! 🤣 🤣 🤣
Ndio ile inavunywa toka kwenye bamboo tree sio?Ulanzi uo Iringa uko ndo upo
[emoji106]Asante mlongo[emoji51]
Yeah ndo hiyo bamboo juiceNdio ile inavunywa toka kwenye bamboo tree sio?
Naomba unifundishe kupika hizi pasta, bila kulainika kama ugaliMie natumia hizi. Pasta.
Sio zile nyengine local made.
Zile mie hupenda kupika nyeupe za nazi. View attachment 1768697
Mi haya niliyala Zambia, Lusaka wanayaita CHIKANDAMsafiri kafiri nimekula sana hizi makitu, hapa kwetu sijabahatika kukutana nayoView attachment 1769407View attachment 1769406View attachment 1769405
Ashiiiiii no way, you did? Yana taste gani aisehh ahhhMi haya niliyala Zambia, Lusaka wanayaita CHIKANDA
Aandike tena taste ooh no! Mtu yeyote aliekula hizo mambo asihojiwe chochote maana ni balaa.
Aandike tena taste ooh no! Mtu yeyote aliekula hizo mambo asihojiwe chochote maana ni balaa.
[emoji12]Saa za kufuturu hazijafika!
NkituliaNaomba unifundishe kupika hizi pasta, bila kulainika kama ugali