Huku kwetu ukienda sokoni washakukatia Katia kbs za jero hupati shida
Hizo tomato π mbona hawakukata pia? π π πHuku kwetu ukienda sokoni washakukatia Katia kbs za jero hupati shidaView attachment 1790286
Hio Ni carrot mkuuHizo tomato [emoji534] mbona hawakukata pia? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haha, oh, wangekata pia kazi iwe rahisiHio Ni carrot mkuu
Huyo kwio[emoji39][emoji39][emoji39]
Karibu mkuu πHuyo kwio[emoji39][emoji39][emoji39]
Asante mkuuKaribu mkuu [emoji846]
Hilo bomu unalolitengeneza hapo,watu wakae mbali na wewe
Waeza enda kopa ukicheza! π π πKama mtu ana njaa na mfukoni kuko vibaya simshauri kabisa afungue huu uzi
Dddaaahhh [emoji22]
Naelewa... πDddaaahhh [emoji22]
Tartib sheikh. 6 ngumu ujue [emoji53]
Hapana best.. Hii rive kabisa[emoji23][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1790751
Kutoka Mtandaoni.
Hizo chips unashiba kweli[emoji16][emoji16]View attachment 1790751
Kutoka Mtandaoni.