Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Hapana best.. Hii rive kabisa[emoji23][emoji39][emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pande kama pandeView attachment 1790814
Hizo chips unashiba kweli[emoji16][emoji16]
Waambie na matango wauze vivyo hivyo!Huku kwetu ukienda sokoni washakukatia Katia kbs za jero hupati shidaView attachment 1790286
Ugali mchana bhana[emoji28]
Portion kidogo tu na huo hauishi wote.Ugali mchana bhana[emoji28]
Ywataka asinzie kazini huyo chali... 😂Ugali mchana bhana[emoji28]
Mimi ugali usiku hapana...Portion kidogo tu na huo hauishi wote.
Anafanha kazi usiku?[emoji28]Ywataka asinzie kazini huyo chali... [emoji23]
😂 Alete mrejesho... Kitu cha 'White cake' kinashika lkn!Anafanha kazi usiku?[emoji28]
Pole... jumamosi njoo Maria center busweluMie kitimoto🚫🤧🤧
Mapeema☺Pole... jumamosi njoo Maria center buswelu
Ma nutrients ka yote aisee! 🤣Tembere ojijoView attachment 1791208
Mi natwanga hapa penyewe sa hii nikiamka kesho ni maji tu na labda chai, tunda kidogo basi.na naweza shinda siku 2 napuyanga tu baada ya huo ugali wa usiku 😁Mimi ugali usiku hapana...