Sijui kama ndo vya kisambaa ila ni vitamu balaa,recipe mchele kilo mojaMwenye pishi la vitumbua vya kisambaa jamani
😂Kama supu ya mapupu[emoji2]
Mambo ya diet ehhView attachment 1791456
Mayai na mboga mboga kifungua kinywa kimepikwa namimi mwenyewe[emoji3059][emoji39]
Ewaaa....[emoji39][emoji39][emoji39][emoji1545][emoji1545][emoji1545] SITAKUSAHAU katika ufalme wangu...Sijui kama ndo vya kisambaa ila ni vitamu balaa,recipe mchele kilo mojaView attachment 1791428
Nimeipenda hii ila ningeongeza na vitumbua vi4 vya UnforgetableView attachment 1791456
Mayai na mboga mboga kifungua kinywa kimepikwa namimi mwenyewe[emoji3059][emoji39]
Mambo ya diet ehh
NIMEMISS NDIZI KUZIDI KIAS
Mboliko ni nini mkuu?
wacha wapate mimba tu aisee
😂wacha wapate mimba tu aisee
@Mshana Jr hii nini imekaa kama shina la mgomba