Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Sawa... 🤤🙄Jilambe[emoji39]View attachment 1792120
Ukisikia magimbi ndio hayo.@Mshana Jr hii nini imekaa kama shina la mgomba
Mkuu unakosa uhondo aisee, nnavopenda ndizi za kupikwa😋😋Mi na ndizi mbalimbali..ndiz za kupikwa...mi nakulaga zile za kukaangwa tena zile zenye sukari kubwa.ila sjui bukoba sjui matoke et zmepikwa na nyama sjui kuku..sili hata mara1
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Jilambe[emoji39]View attachment 1792120
Alafu upate moja baridi, duh 💪🏼Ugali nyama chomaView attachment 1792152
Sasa mkuu hapo ni kwaajili ya picha tu kwanza. Baada ya picha navuruga mambo. 😂hivi umeshindwa kuikata kata hio ndizi ? Unailaje sasa kwa mfan
Menya, chemsha na maji na chumvi na kitunguu yakiiva weka nazi