Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Sijawahi kuonja hiko
Nilionja siku moja, nikakinai. Wana harufu nyingine ya baharini vile. πSijawahi kuonja hiko
Kabisa, niko na ugali wangu hapa nalumangia tu.
Kwa mwendo huu endelea kuishi kwa jina baba na mwana na roho mtakatifuVya kushushia pilau la sita!
View attachment 1792876
Dah[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Watam mnoSijawahi kuonja hiko
Ndio utam wenyewe huo [emoji1787]Nilionja siku moja, nikakinai. Wana harufu nyingine ya baharini vile. [emoji23]
Wacha utani chief! Yaani blueband tu! (Kilainishi cha koo) [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Kwa mwendo huu endelea kuishi kwa jina baba na mwana na roho mtakatifu
Amen
Alafu nilichopenda ni blue band tu.
Ah, mi sirudii ile kitu. Bora pweza! πNdio utam wenyewe huo [emoji1787]
Pakavu sana mkuu... π ππ½
Mshana yuko wapi? Anavyopenda Sea food sasa [emoji23]
Karibu