Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Weka msosi mkuu,naweza shawishika kuwa mgeni wako[emoji847]Karibu
Diet au junk food?
[emoji39][emoji39][emoji39]chai ya limao..ndizi hizo wanikumbusha kijijini kwa bibi[emoji847]
Karibu sanaa wakati wowote... milango iko wazi[emoji39][emoji39][emoji39]chai ya limao..ndizi hizo wanikumbusha kijijini kwa bibi[emoji847]
Thank you Tetra.
Naomba niwe mgeni wako siku moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
AkhsanteKaribu sanaa wakati wowote... milango iko wazi
Hapa 198.98.57.29
Classic 👍
[emoji28][emoji28] wapi nikuijie
Njia ni ndeefuu madam...
Na hata inakoelekea sielewi..Njia ni ndeefuu madam...
Nasubiri pishi lako pendwaNa hata inakoelekea sielewi..
Anyways,,
Endelea kutupia misosi nile kwa macho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajitahidi niweke japo sina mazingira rafiki Sana kuniwezesha kupiga picha.Nasubiri pishi lako pendwa
Msalimie mama clareeMwanaume wa singidarView attachment 1794346