Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Emir wa uzi!π€π€π€View attachment 1796112
Maandalizi ya siku!
Nipo chief! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Emir wa uzi![emoji847][emoji847][emoji847]
Pale kwa Mungure?Nazipenda sana kande
Shule tulikuwa tunaweka peanut butter kutafuta ladha
Oh sawasawaTunachanganya ili kupata virutubisho vingi zaidi.
Ole wako nikukamate!πππOh sawasawa
Akhsante kwa darasa zuri[emoji120]
Uwe unashinda hukuhuku kutundisha haya mambo,Kule kwenye siasa kunakuharibu akili[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji2098]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ole wako nikukamate![emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1796237
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinitishe bwana wee.
Wewe huoni kama kule unakuwa kituko?
Kumbe una akili namna hii [emoji40][emoji40][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nina picha ya babe wako na nina hamu sana ya kuipost!π€π€π€[emoji23][emoji23][emoji23]
Toa picha lako huko[emoji23]
Linatuharibia uzi wetu pendwa wa misosi.
Ukiendelea kunitisha namwita babe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindweee [emoji23][emoji23][emoji23]Nina picha ya babe wako na nina hamu sana ya kuipost![emoji847][emoji847][emoji847]
Nilisahau kuwapa mrejeshoView attachment 1796112
Maandalizi ya siku!
dah, hivi vitu mkoan havipo kabisa aisee[emoji39]Jilambe[emoji39]View attachment 1792120
Home is best