Hapa ndume tano tu, alafu mwe ndio mmetoka kupiga zege! 🤣
Nakuja na wali wangu😋Thuzi la samaki
View attachment 1800087
Ntho chapu! 🤣 🤣 🤣Nakuja na wali wangu😋
Mambo yake! 🤣
Nitakulipa mchana, Ijumaa ya leo!
Kampala moja hii kwa vyovyoteMihogo na choma
View attachment 1800060
Nasubiri hiyo comeback! 😁Nitakulipa mchana, Ijumaa ya leo!
Ni kweli ila ni vyema angalau viwe na muonekano huuNacheka napogundua vitumbua Ni vitamu zaidi ya baga za washua
Mshana Jr karibu tunywe chaiView attachment 1799988
Kim Dawizzy
We kweli ni beberu Mwitu kama ulivyowahi kujiita humuView attachment 1799952
Maskini kuku nimemchoma vibaya kavurugika, but yummy!
[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Magic chefDah! Umenipa mshawasha nikanunue kuku muda huu! Mrejesho jioni!! [emoji3064][emoji3064][emoji3064]