Huu msosi wako unafanana na bawasiri!
Msosi wa mtu ngapi mzee?
Mimi nakupenda nataka uwe unakula vyakula ambavyo vitakuepusha na maradhi,mboga na matunda kwenye vyakula vya namna yako ni muhimu sana.ila wewe akili zako unazijua mwenyewe
Magic moments!
Naona na avocado pembeni hapo..safii
Mimi nakupenda nataka uwe unakula vyakula ambavyo vitakuepusha na maradhi,mboga na matunda kwenye vyakula vya namna yako ni muhimu sana.
Kuna mtu kaposti hiki chakula hapa,hiki ni chakula ambacho hakina mawaa kabisa.Yaani ni chakula bora kwa asilimia 90.Imagine Hapo pana dona,mtindi na mboga za majani achilia mbali huo mchuzi fulani!πππSawa nitakua najitahidi kiukweli kwenye mboga za majani nina kauvivu
Kuna mtu kaposti hiki chakula hapa,hiki ni chakula ambacho hakina mawaa kabisa.Yaani ni chakula bora kwa asilimia 90.Imagine Hapo pana dona,mtindi na mboga za majani achilia mbali huo mchuzi fulani![emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1818131
Hapo nimeona na ka funguo ka chooni hapo mezani......[emoji23][emoji23][emoji23]Tupate mchemsho kidogoView attachment 1816516
Kuna mtu kaposti hiki chakula hapa,hiki ni chakula ambacho hakina mawaa kabisa.Yaani ni chakula bora kwa asilimia 90.Imagine Hapo pana dona,mtindi na mboga za majani achilia mbali huo mchuzi fulani![emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1818131
Kama utajitahidi utupie na picha hapa pia!πnitajitahidi nitaanza leo[emoji3]
nitaleta mrejesho
Goti hili?View attachment 1816420
Asubuhi! [emoji39][emoji39][emoji39]
Honey glazed sio... πPesa kmanyoko[emoji23][emoji23]View attachment 1816999View attachment 1817000
Kama utajitahidi utupie na picha hapa pia![emoji854]
SamakiGoti hili?