Duh[emoji15][emoji15][emoji39][emoji39][emoji39]Wachina si wanaigiza hapa? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bonge la menu!
View attachment 1822064
View attachment 1822065
View attachment 1822066
Huyo nyoka karostiwa huwo mnofu unaweza sema samaki.Wachina si wanaigiza hapa? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bonge la menu!
View attachment 1822064
View attachment 1822065
View attachment 1822066
Ni hapo umemaliza kula hadi kujiramba vidole, ndio unaambiwa umekula nini, waweza lia! 🤣 😂 😂 😂Huyo nyoka karostiwa huwo mnofu unaweza sema samaki.
Mambo ya survival, popote kambi.. 😂
Kwani hao wachina wanakula mefi? 😬Mnaopost vidudu humu mnaharibu huu uzi kama unakula hayo madudu bakı nayo tu usituletee hapa "UZİ Nİ VYAKULA TU PUMBAVU"
Unawaamini wachina kwa lolote?niliacha kula kwao nilipokuta buffee wamechoma chura na wamekaanga minyoo🙄Kwani hao wachina wanakula mefi? 😬
🤧🤮🤣🤣🤣Unawaamini wachina kwa lolote?niliacha kula kwao nilipokuta buffee wamechoma chura na wamekaanga minyoo🙄