Uzi wa vyakula tu

Hilo kongoro zimazima nilipewa Mbeya likanishinda Ilikua Hotel moja maarufu tu pembeni stendi ya nanenane Uyole sikumbuki jina.Mfikemo nafkiri inaitwa
Mwenye Hotel nae akapigwa mapanga mbaya na ndugu zake akiwa msibani.
Nikiwa pale hotelini nikapewa habari .
Siku nikaagiza chipsi yai restaurant yao daah🤷‍♂️
You can imagine ni Hotel kubwa tu.
Kwenye room niliwakubali sana.
Nikaingia Disco vumbi lao yaani ikawa tabu tupu vumbi vumbi kweli full fujo 😂😂😂
Aah Mbeya wajifunze kidogo ustaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…