ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Zinaitwa ladeView attachment 1824938
Pia Kuna furuHaya madubwana aisee yaache kama yalivyo hadi mate yamenitoka kitambo sana kijijini kwa babu yanapenda sana kando ya mto
KizimbaNimuda wa wakulima kutabasamuView attachment 1824944
Hii ni funika bovu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakuu mimi leo nawajia na kitafunwa hiki SAMBUSA YA MAHARAGE, naweza kusema: ni Made in Tanzania Mbagala, sababu sidhani kama kuna sehemu yoyote duniani unayoweza kupata SAMBUSA za maharageView attachment 1825428
Utoto Raha Sana hivyo vimaua tulikuwa tunachuma halafu tunavyonza.
Wapi chapati laini[emoji39][emoji39][emoji39]Halafu nisikie mtu anasema ni kiporo!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1825887
Sent using Jamii Forums mobile app