Shemeji nakuja huko kula ndizi, mwambie kabisa kaka asijesema kafumania[emoji4][emoji4]View attachment 1835928
Karibu sana[emoji4][emoji4]Shemeji nakuja huko kula ndizi, mwambie kabisa kaka asijesema kafumania
Pia Kuna furuView attachment 1825176
Bonge eeh. Halafu hana hata chura. Na sura mbayaa Kuliko Remmy Ongala.Huyu rangi ya mtume kutoka Zanzibar ni bonge?
🤣🤣🤣🙌Bonge eeh. Halafu hana hata chura. Na sura mbayaa Kuliko Remmy Ongala.
Baraka ya weupe tu. Lkn sihaba [emoji28]
Unaweka upande tu. Kula kwa mkono sunnahHivo vijiti unakulaje navyo
Safi sana.