Uzi wa vyakula tu

Dah mzee baba unantia udenda bado sijauona wa mida ya Dochi vele
Ngavu.we SI ulipiga mtibwa db...Sasa Mimi leo sikugonga tea nilikuwa na ka show flani Cha kumsafishia mwanangu mmoja kiwanja chake ndo maana nimegeuza mchana huu nikaliunga la kizushi ngoma mpaka jioni hio...Sasa hv naingia kitaa majabalini kuzuga naweka pozi mpk jioni MB 1024 zipo uhakika
 
Hahahah 1GB uhakika,,, mie leo napiga acapella mpaka mishale ya BBC london niko clanga session kitaa!
 
Fanya ile diet ya nyama nyama wanaita sijui keto[emoji39][emoji39][emoji39]
Ningekuwa kibonge ningefanya ile,nashindia nyamanyama,samaki,mbogamboga na matunda [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] badala ya kupungua ningenenepa tena

[emoji23][emoji23][emoji23] nilishajaribu nilinenepa

yaani inayonipunguza ni ile ya 13 days diet, eggs diet ya 10 days na mauaji diet.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nilishajaribu nilinenepa

yaani inayonipunguza ni ile ya 13 days diet, eggs diet ya 10 days na mauaji diet.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiyo mauaji diet ndo unashindia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…