[emoji120][emoji120][emoji120]Naelewa chief!Nisamehe sheikh samahan sana
Mnafu na Saladi Ndo mboga zangu kuzipata Dar ni Changamoto
Mnafu ukiutia utumbo na nazi ni hatari sana
Kuna kuku mnafu nayo ni balaa tupu
Chuzi limenitamanisha π
Zito eeh? π π πChuzi limenitamanisha π
ππ zito sana yani, wali wote unapotelea humoZito eeh? π π π
Hii wali kwa samaki, ilinifanya niimezee mate mapande ya samaki.[emoji790]
View attachment 1871354
Ndivyo inavyopaswa, wali usiwe mkavu sana. Yaani hapo mchezo laini laini! π€£ππ zito sana yani, wali wote unapotelea humo
Beef hiyo, sio samaki mkuu!Hii wali kwa samaki, ilinifanya niimezee mate mapande ya samaki.
Yummy! πππ
Hii kitu Panya, nani hajaionja?View attachment 1871172View attachment 1871173View attachment 1871175View attachment 1871176
Ndio zake huyoo [emoji3062]Chief! Daah! Yaani unanionesha hotfire kweli? Si halali kwa upande wangu hivyo! [emoji2363][emoji2363][emoji2363]