Uzi wa wala daku 2024

Ndio maana wakimaliza mfungo wanakuwa vifutu..yaani kimsingi wamebadili majira ya kula
Joannah wee upo against kabisa na sisi kula usiku..
Hii sio mara ya kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Bora yetu wagalatia huwa tunapumzika kula chakula kimoja unaamua kufunga kula Magimbi au makande siku 40 ndo funga imekamilika hiyo
Daaah aiseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…