Humu humu kuna vijana wahuni wata-heartbreak wenye changamoto hizo.Ungeanza wewe kama ni mlemavu ni mlemavu wa nini ili upate anayehitaji, ama labda hautafuti
Kila mtu ni mlemavu! Kama ni mzima leo jua kesho utakuwa ni mlemavu,nawakumbusha mleta mada na walemavu wengine kuwa huu uzi ni wetu sote,walemavu,wasiowalemavu wake kwa waume.
Tunaitwa Mkono Wa Birika, Shati Mikono MifupiNa sisi wabahili wa kuhonga pesa kisa mapenzi kuna dada kaniambia na sisi ni walemavu tu, bora tumepata uzi wetu cc Mbaga Jr secretarybird
Hakika tutulie hapa tutapata wachumba bwasheeTunaitwa Mkono Wa Birika, Shati Mikono Mifupi
Hakuna Kuhonga Wala Pesa Kudondoka
Kama Anakuja Anajigharamia Mwenyewe
Kweli kabisa, kwenye suala la kuhonga, Mm n mlemavu pro maxNa sisi wabahili wa kuhonga pesa kisa mapenzi kuna dada kaniambia na sisi ni walemavu tu, bora tumepata uzi wetu cc Mbaga Jr secretarybird
Mimi sio mzima ni mlemavu mbahiliKweli kabisa, kwenye suala la kuhonga, Mm n mlemavu pro max
Nimefurahi kuona walemavu wa kuhonga wanazidi kuongezeka.Na sisi wabahili wa kuhonga pesa kisa mapenzi kuna dada kaniambia na sisi ni walemavu tu, bora tumepata uzi wetu cc Mbaga Jr secretarybird