Uzi wa walemavu wanaotafuta MKE au mme

Kama kuna binti ni albino na anahitaji mwanaume, tafadhali njoo pm tuyajenge 😎
 
wazo jema sana ila msijitenge sana maana kila mtu ni mlemavu wa kesho. wewe ukiona unaweza kufanya maisha na mtu hata kama sio mlemavu wewe mfungukie tu. mwache yeye ndo achague atasuka au atanyoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…