Uzi wa wanaJF ambao marital status zao ni "Single"

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
14,113
Reaction score
17,645
Huu ni uzi maalumu wa kuorodhesha id za wana jf ambao wapo single.

Lengo ni kuwasaidia vijana wasitamani au kusumbua sumbua wake / waume za watu waliopo humu jf.

Pia ni kuwasaidia wale wanaoweka matangazo kule love connect wajue wapi pa kuanzia. Hakuna age limit hata kama upo single na miaka 80+ karibu sana

Karibuni mtiririke kadri muwezavyo. Baadhi yao ni hawa

1. issaaman
2. Miss Natafuta
3. Madam B
4. lup
5. King Kong III
6. Behaviourist (single but taken)
7. Killmonger
8. Gyole
9. Antonio de Guzman
10. @Herrymiller
11. mugah di mathew
12. Dreka. Drake.
13. Ambiele Kiviele.
14. Jolie Jolie
15. Shunie
16. Demiss
17. demi
18. charminglady nae ndani ya nyumba
19. lukaku Tanzania
20. dingimtoto
21. Stephen Chelu
 
Last edited:
Beautiful without brain is like public holiday in Sunday its useless..............


what about those with complicated on their marital status................tuwasaidie hawa kwanza
 
Kwa kweli nishatafuta sana hadi namba nimeweka lakini wapi... labda hapa nitapa wa Mwanza
 
Beautiful without brain is like public holiday in Sunday its useless..............


what about those with complicated on their marital status................tuwasaidie hawa kwanza
Walio kwenye complicated relationship tutawafanyia maombezi ya jumla wapate faraja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…