AmorePowers
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 700
- 1,142
Nasoma VetaSoma kwanza. Mapenzi utafanya had uchoke utakapomaliza masomo
Upo single ?Kulalek
YapUpo single ?
Nyie wote si wanaume. Muwe makini aiseehNmpenda
Aje nimpe uDC,..ndio fursa mpya hii mjini,.Naona mtu anatafuta fursa. Japo hajalipia kodi.
U dc wa washington au wa wapi ?Aje nimpe uDC,..ndio fursa mpya hii mjini,.
Tangu lini
DasilamaU dc wa washington au wa wapi ?
Maliza mafunzoNasoma Veta
Tumeanza kujuana lin kwan?Tangu lini
U DC had ubemendwe he ww utammbemende?Aje nimpe uDC,..ndio fursa mpya hii mjini,.
Shida ya jamii forum unaweza chat na mtu kumbe ni mwanaume mwezioAsante
Tangu ulipojiunga jf boss mwaka 2014 DesembaTumeanza kujuana lin kwan?
Hongera zake.Dasilama
Elewa na uamin kuwa nipo singleTangu ulipojiunga jf boss mwaka 2014 Desemba
Shida ya jamii forum unaweza chat na mtu kumbe ni mwanaume mwezio[/QUOTE haaaaa kumbe et eee
Sawa bossElewa na uamin kuwa nipo single
VzrSawa boss
with all due respect nimekubali.