Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
- Thread starter
-
- #141
Si unaweza kutumia kibomba cha chooni kupunguza makali ukiwa single. Shida iko wapi ?Naweza kwa single lakin kwa miezi hata miwili au mitatu
Upo single ?Punde si punde dada zangu naanza kupita PM ya mmoja mmoja alietoa comment huu uzi nahitaji ushirikiano katika hili.
Wako katika ujenzi wa CHIT CHAT Rijali jandoni
Hapana mbona mimi sina... nimeshatafuta humu Mmu hadi admin wamenikalili yaani wanafufa uzi zangu tuhawa wote wana watu wao iyo marital status yao isikutishe ni vipanga tu
Dreka asante kwa kunirahisishia kazi maana umenipa namba ya mwanzo kabisa... shukrani mkuuHuu ni uzi maalumu wa kuorodhesha id za wana jf ambao wapo single.
Lengo ni kuwasaidia vijana wasitamani au kusumbua sumbua wake / waume za watu waliopo humu jf.
Pia ni kuwasaidia wale wanaoweka matangazo kule love connect wajue wapi pa kuanzia. Hakuna age limit hata kama upo single na miaka 80+ karibu sana
Karibuni mtiririke kadri muwezavyo. Baadhi yao ni hawa
1. issaaman
2. Miss Natafuta
3. Madam B
4. lup
5. King Kong III
6. Behaviourist (single but taken)
7. Killmonger
8. Gyole
9. Antonio de Guzman
10. @Herrymiller
11. mugah di mathew
12. Dreka. Drake.
13. Ambiele Kiviele.
14. Jolie Jolie
15. Shunie
16. Demiss
17. demi
18. charminglady nae ndani ya nyumba
Dreka mtoe Demiss maana Jr, anakusanya kodi ya kitanda kwake kila siku labda siku yuko juu mwezini tu.... hivyo mtoe hapoHuu ni uzi maalumu wa kuorodhesha id za wana jf ambao wapo single.
Lengo ni kuwasaidia vijana wasitamani au kusumbua sumbua wake / waume za watu waliopo humu jf.
Pia ni kuwasaidia wale wanaoweka matangazo kule love connect wajue wapi pa kuanzia. Hakuna age limit hata kama upo single na miaka 80+ karibu sana
Karibuni mtiririke kadri muwezavyo. Baadhi yao ni hawa
1. issaaman
2. Miss Natafuta
3. Madam B
4. lup
5. King Kong III
6. Behaviourist (single but taken)
7. Killmonger
8. Gyole
9. Antonio de Guzman
10. @Herrymiller
11. mugah di mathew
12. Dreka. Drake.
13. Ambiele Kiviele.
14. Jolie Jolie
15. Shunie
16. Demiss
17. demi
18. charminglady nae ndani ya nyumba
Nimeshakuweka my sister. Japo nilitaman nikuchukue mimi mwenyewe moja kwa moja.
Demiss hamilikiwi na yeyote hapa jf.Dreka mtoe Demiss maana Jr, anakusanya kodi ya kitanda kwake kila siku labda siku yuko juu mwezini tu.... hivyo mtoe hapo
Sawa boss.Dreka asante kwa kunirahisishia kazi maana umenipa namba ya mwanzo kabisa... shukrani mkuu
Badili jinsia labda utawapataHapana mbona mimi sina... nimeshatafuta humu Mmu hadi admin wamenikalili yaani wanafufa uzi zangu tu
Ex wakeNani aliekuambia Shunie ni single?
Analazwa na nepi
Nasikia wewe badoShunie ni TAKEN TAKENA TAKEN
Hivyo vyote utavipata. Hadi utanikimbia na machozi juu kwa mahaba nitakayokupatia.Utaniweza?
Una ATM
Una benki
Una usafiri
Una malazi
Una kabati ya mbeho
Una ....
Una ....
Una ...