Mwezeshaji1
Member
- Sep 26, 2023
- 69
- 124
kwanini usiuze hyo simu ili upate usngzi🤣Asante Mkuu kwa kuuliza swali lenye uzito mkubwa sana.
Mimi kinachonikosesha usingizi ni SIMU, yani natumia simu kama Customer Care anaehudumia Wateja wa mtandao wa simu.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mkuu una umri gani?Katika nyanja ipi Sasa.
Kama mahusiano, mi napitia kuachika sababu Sina hela,...
Kama Kimaisha ...na stress za kutokufanikisha malengo ya kuwa na funguo tatu[emoji24]
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app