Uzi wama-second born

Ukiwa second born una nafasi kubwa ya kufanikiwa. Sababu njia inakua ishatengenezwa na support kutoka kwa first born
Kwa sisi wahenga mara nyingi first born na second born wanakuwa wamepishana miaka miwili au mitatu na wengine mmoja kabisa kwa hiyo wanakuwa kama wanalingana tu. Katika mazingira kama hayo muda wa kutengeneza njia hata haupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Second born kwa upande wa mwanaume ni safi ila kama wa kwanza ni mtoto wa kike kupigana kupo pale pale na msoto upo. cha msingi kila mmoja apambane kutengeneza njia yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kweliii
 
Mimi ni 2nd born, ila nina responsibility kushi da 1st born wangu. Kwa maana, kwa kiasi kikubwa anahitaji support yangu. Wazazi wetu walifariki tukiwa wadogo, tumelelewa. Kwa bahati sana niliweza kupata access ya elimu, ingawa bado nasoma ila najitahidi kumshika mkono. Hakufanikiwa kumaliza elimu ya sekondari kutokana na support mbovu kwa baba mlezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…