Uzimaji simu feki

Joined
May 24, 2016
Posts
34
Reaction score
7
Natumaini kwa sasa kila mmoja ameshajua hatma yake kuhusu TCRA katika Uzimaji Simu Feki Hii itasaidia saana kuepukana na kero mbali mbali zinazojitokeza kwa watu !!Asaaanten Tcra[emoji12] [emoji12]
 
Natumaini kwa sasa kila mmoja ameshajua hatma yake kuhusu TCRA katika Uzimaji Simu Feki Hii itasaidia saana kuepukana na kero mbali mbali zinazojitokeza kwa watu !!Asaaanten Tcra[emoji12] [emoji12]
*HABARI NJEMA JUU YA KUZIMA SIMU FEKI* Hakuna simu inayozimwa bila kuminywa power button. Simu feki zote zitakosa mawasiliano..ila zitaendelea kuwaka kama kawaida Kwahyo bado utaweza tumia katika baadhi ya huduma kama *tochi*, *calculator* na kucheza *game*. Unaweza pia kuitumia kama silaha pindi mtu atakapokucheka unaweza mtupia ikamuumiza. Kwahiyo sio kweli kwamba simu yako itakosa huduma zote.
 
Hakuna Jinsi lakini inabidi tusubilie matokeo tu.
 
I cant wait to see this happen. Mtaokumbwa na kadhia hii mrudi hapa kuleta mrejesho.
 
Aah mimi nimejitoa muanga yaan had inifie mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…