Sure sasa hivi wamelowa wanaogopa kinyama! wanahaha na kina DMX! Itafahamika tu!
Sugu badala ya kuhangaika na matatizo ya wananchi wa Mbeya yeye anatunga matusi. Mwanaharakati gani anatukana. Uanaharakati sio matusi.
Hao Vinega wote ubunifu umewaponza. Kama klausi wanawapinga mbona redio nyingie hawa wapi Air time?. Hawana kitu hao.
Sugu badala ya kuhangaika na matatizo ya wananchi wa Mbeya yeye anatunga matusi. Mwanaharakati gani anatukana. Uanaharakati sio matusi.
Hao Vinega wote ubunifu umewaponza. Kama klausi wanawapinga mbona redio nyingie hawa wapi Air time?. Hawana kitu hao.
haiwezekani maisha ya wasanii yashikiliwe na watu wachache! Wakitaka usifanikiwe hufanikiwi! Upuuzi! Hawa vijana hawajui lolote zaidi ya kupewa vipaji vya muziki! Lazima muziki uwe huru kutegemea na vipaji!
haiwezekani maisha ya wasanii yashikiliwe na watu wachache! Wakitaka usifanikiwe hufanikiwi! Upuuzi! Hawa vijana hawajui lolote zaidi ya kupewa vipaji vya muziki! Lazima muziki uwe huru kutegemea na vipaji!
ZAY B, BDP, MANZESE CREW, LWP, SUMA G, SOGGY DOGGY, SUGU, MKOLONI, ADILI, MAPACHA, hawa walitoka kabla hata ya CLOUDS kuanza, walifanya kazi za ukweli na walikubalika, ila walipotakataa kuwa managed na hao jamaa tu wakawabani, wanabana kwa ma afisa masoko, wasipate udhamini...**** u clouds, **** u ruge?
eti msanii ili uweze kuapata show inabidi umnyenyekee B -12 Khaaa?
mtoto wa juzi tu
26 november ustawi wa jamii kitasomekaaa
nakubali hawa washkaji walikuwepo kabla ya Clous. Kilichowapoteza si uwepo wa clous bali ni ubunifu wao ulipungua.
Tanzania kuna radio &Tv station nyingi sana. Kwanini bado hawapati Airtime kama mwanzo?
Clous wana mapungufu yao, ila hao wanaojiita vinega wanapaswa kukaa chini na kujitathimini. Kuamua kutunga nyimbo za matusi hakutawarudisha kwenye game. Kulalamika hakutawarudisha. Lazma waanzishe darasa kuwaelimisha wasanii wengine ila sio kutunga nyimbo za matusi. Ni ujinga, tena ni ujinga.
Hitimisho:
hiyo showa watahudhuria wahuni, wavuta bangi wenzao. Na haitakuwa na ufanisi. Nawapa mwaka mmoja hilo kundi litakuwa limevunjika kwakuwa hawana vision.
1.VINEGA sio kundi,bali ni genge...
2.hawa jamaa hawaendeshi harakati za kupigiwa nyimbo zao redioni,lengo lao ni zaidi ya ulipoishia kufikiria,wanapigania vitu vifuatavyo
a.fursa sawa kwenye biashara ya muziki(kusiwe na u-Mungu mtu kama sasa)
b.msanii anufaike na kazi yake kwa asilimia zote e.g albums,showz,ringtones,matangazo ya biashara etc
c.kujenga thamani ya msanii wa kitanzania(msanii wa kibongo hivi sasa amekuwa mnyonge,ombaomba,maskini,mwoga adi wanaishia kula unga)
d.kujenga nguvu na sauti ya kundi la sanaa,ambalo linasahaulika sana kwenye mambo muhimu k.m plans,policy making nk
4.kuusu suala la matusi lisikuogopeshe sana,izo ni hasira tu wanazionyesha.jamaa wako real(its all about hiphop)..ni kama wewe umeme ukikatika apo ghafla jinsi utavyotukana.
5.unasema jamaa hawana vision..ungejua hii movement ilipoanza adi sasa ilipofikia wala usingesema,kuna wengi walijaribu wakaishia njiani..jamaa watakushangaza sana.
najaribu kukusahihisha kidogo..