Jamaa kafanana kidogo na Mbowe17 September 2020
Mbeya Vijijini
Tanzania
Kamanda China wa China Joseph Mwasote
Mgombea wa ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA kamanda Joseph Mwasote hatimaye azindua kampeni yake ya 2020 baada ya Tume ya Uchaguzi kurudisha jina lake liliokuwa limeenguliwa kufuatia pingamizi alilowekewa jimboni.
Kamanda Joseph Mwasote ni mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya pia Makamu Mwenyekiti Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa CHADEMA.
Mungu kawatia upofu. Wanarusha ngumi bila uoni.Kuna makosa mengi saaana ya kiufundi ccm wameyafanya bila wao kujua.
Haya mapingamizi hayaaa!!!!!.
Miaka 59 ya UHURU tuna vyote hivi;Magufuli ni muoga sana.
Asante PENTAGON asante Thinktank.
Asante marekani.
[emoji120]
Lilikuwa ni kosa kubwa sana la kiufundi kumuengua China. Yaani wamemrahisishia subirini tu mtaonaKuna makosa mengi saaana ya kiufundi ccm wameyafanya bila wao kujua.
Haya mapingamizi hayaaa!!!!!.
Hahahahahaaaa . . . eti maji safi na salama. Yaani nimecheka mpaka basi. Ila nimetafakari sana nilipoiona list hiiMiaka 59 ya UHURU tuna vyote hivi;
Mount Kilimanjaro
Serengeti National Park
Mikumi
Ziwa Victoria, Tanganyika
Makaa ya mawe Songea
Bandari ya DSM
Gesi ya Mtwara
Almasi
Tanzanite
Dhahabu
Bado CCM imeshindwa kumpa mwananchi MAJI ya kunywa safi na salama tu