Uzinduzi Mradi wa Umeme, mto Rufiji: Rais Magufuli aagiza sehemu ya Selous kuwa Hifadhi ya Taifa. Fedha zilizorudishwa kutoka Kenya kujenga barabara


Ndio Vizuri kwanza itazuia Watu kuzaliana sana. Una lingine?
 

Duuuuu, kwa hiyo unambagaza baba wa Taifa? Kiweke tukijue, au mpaka mama Maria atoe waraka ndio uweke hiyo siri hadharani?
 
Mpelekee taarifa kamanda msaliti awaambie mabeberu mabwana zake kuwa JPM leo ameweka jiwe la msingi kwenye mradi wa umeme wa stiegler.
Yani kweli mtu unajiita 'great thinker' unaweza kusema miradi hii yote ya maendeleo inayotekelezwa ni ya 'kuaminishwa tu'? Kama unatumia kitu kingine badala ya ubongo kufikiri, kwa nini angalau usitumie macho kuona? Kweli huwezi kuona kinachoendelea mpaka useme ni vitu vya kuaminishwa? Nyie wafuasi wa msaliti mna shida sana.
 
Duhh mkuu,unajaribu kusema nini kwa mfano.?
 
Watanzania tusiwe na overpectations sana kuhusu mradi huu. Mradi unategemea maji ya mvua wakati sisi hatuna uwezo ku-control mvua kunyesha; kwa hiyo anything can happen. Tuchukulie kama miradi mingine ya namna hiyo kama Kidatu, Nyumba ya Mungu na Mtera
 
Umeme wenyewe ni megawatts(MB)2000, yan ungefikia kwenye hata Gigawatts(GB) 1 sijui ingekuwaje hayo makelele yake,

Nathan serikali ianze kufikiria kuzalisha gigawatts za umeme
Wewe nawe kujitutumua kumbe hata hizo prefix huzijuwi vizuri, unachanganya Megawatts (MW) na Megabytes(MB) hapo hapo hujuwi kuwa 2000MW ni kubwa kuliko 1GW.
 
Docteur J.P. Magufuli, Le 13ème Apôtre et Le Roi de Tanzanie.
On est tous ensemble!!!
Bravo JPM
 
Mwalimu Kichuguu unaifahamu vizuri jiografia ya nyanda za juu kusini na vyanzo vya maji ya mto rufiji?
 
Bwawa LA kariba, Zambezi in Zambia. FYI hili eneo LA Zambia ndio kama Serengeti ya Tz
Kivutio pale sio bwawa ni maporomoko. Mosi O Tunya au the smoke that thunders. Maporomoko hutoa kitu kama mvuke hivi.
 
 
Jiweeeeeeeee.........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja niskitike kidogo[emoji56][emoji56][emoji56]chichichichi.
 
Tunaomba hilo bwawa lijengwe kwa spidi ya 4G, ili umeme wa bei nafuu upatikane kwa haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…