Uzinduzi Mradi wa Umeme, mto Rufiji: Rais Magufuli aagiza sehemu ya Selous kuwa Hifadhi ya Taifa. Fedha zilizorudishwa kutoka Kenya kujenga barabara

alafu ma-DSO wapo wanaranda tu mitaani.
 
Acha hizo wewe!
Jamaa wako vizuri,
Magu anang'ara kwa juhudi zao.

Usidharau mchango wa kazi zao hata kama huoni matokeao unayoyataka wewe, ni mfumo tu ilivyo. Kazi nzuri sana wanafanya.
alafu ma-DSO wapo wanaranda tu mitaani.
 
Kwenye kufanya maamuzi na kusimamia anachoamini JPM hana mpinzani, na ndo sifa ya Mwanaume na kiongozi yyte....kukosea kupo tu na kila mtu huwa anakosea, jamaa anapiga kazi
 
Nampongeza kwa kumega kuwa hifadhi. Ila kwa nini Jina la hifadhi lingekuwa jina la kivutio fulani hapo
 
Mnasema ndefu sana mbona muandishi kaiandika vizuri sana kwa nakshi na vionjo hadi msomaji huchoki kuisoma?
 

Namba ya simu iko wapi?

Endeleeni kuharibu mazingira tu!

Utaalamu wenu ni uharibifu tu ndio mnachojua!
 
Asante Mzee Makata. Umetufumbua macho wengi wetu. Hao wanaosema ni "ndefu sana" nawashangaa sana. Hawajaenda shule? Hawakusoma masomo kama historia, na bailogia (au elimu ya viumbe), na jiografia masomo ambayo ni lazima usome kurasa kadhaa? Haya maelezo wanayasema ni marefu kivipi?
 
Mpumbavu wewe!
 
Umenichekesha eti masokwe 😀

Tutamchagua tena 2020.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wivu tu. Na hutokaa utoke kwenye huo wivu asilani. Sasa ulitaka azindue jiko lako?
Kudadeki azindue jiko lake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…