Uzinduzi Rasmi Program ya Twende Olimpiki

Uzinduzi Rasmi Program ya Twende Olimpiki

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Waziri Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana pamoja na Balozi wa Ufaransa hapa nchini Mhe. Nabil Hajlaoui Julai 19, 2023 Jijini Dar es Salaam wameshiriki uzinduzi rasmi wa program ya Twende Olimpiki yenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.6.

Program hiyo itakayosimamiwa na Ubalozi wa Ufaransa kwa kushirikiana na Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) utafadhiliwa na Serikali ya Ufaransa kupitia ubalozi wake hapa nchini, kwa ajili ya kusaidia timu zitakazoshiriki Olimpiki Jijini Paris nchini humo mwaka 2024, na pia utahusisha masuala ya usawa wa jinsia hususan kwa watoto wa kike na vijana.

IMG_20230720_194654_329.jpg
 
Back
Top Bottom