Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu invisible hii kiboko sijawahi kuona Forum yoyote ya Kiswahili tangu niingie kwenye Mtandao wa internet inayopata Hits 45 Millioni itabidi muwe na Moderator wa kutosha Mkuu invisible poleni sana kwa kazi nzitoJF moderation inazidi kuwa ngumu, JF inapata hits zaidi ya milioni 45 kwa mwezi na kila siku posts zaidi ya 1,200 zinatumwa. Tumefikiria kuongeza moderator mmoja na tutaendesha semina kwa moderators wote kuweza kukabiliana na hali halisi.
Wanachama mtaandaa party maeneo mbalimbali ya TZ na abroad?
Wazo zuri hilo mkuu, labda wanachama sehemu mbali mbali isingekuwa vibaya tukawa tunakutana! Lakn hili lilishapingwa nyuma kwa kuwa members wengine wasingependa wajulikane majina na nyadhifa zao.. Sijui tufanye nini mkuu..
Tuje tumevaa masks, halafu una label kuuubwa, i.e TzPrideWazo zuri hilo mkuu, labda wanachama sehemu mbali mbali isingekuwa vibaya tukawa tunakutana! Lakn hili lilishapingwa nyuma kwa kuwa members wengine wasingependa wajulikane majina na nyadhifa zao.. Sijui tufanye nini mkuu..
Hebu fikiria unakutana na nanihii. Halafu unakutana naye kwenye thread/post yake humu unampinga. Na yeye ameshakufahamu angalau kwa sura tu. Patachimbika vibaya humu. Hongera Invisible na timu yako hasa kwa wazo lenu la kwenda nje ya mtandao huu yaani kuwa na Tv/gazeti.Wazo zuri hilo mkuu, labda wanachama sehemu mbali mbali isingekuwa vibaya tukawa tunakutana! Lakn hili lilishapingwa nyuma kwa kuwa members wengine wasingependa wajulikane majina na nyadhifa zao.. Sijui tufanye nini mkuu..