Uzinduzi rasmi wa JF Aprili 2010

Status
Not open for further replies.
Dah hili nalo neno kha!!
Mwendo mdundo karibia tunawapiga watu mabao ya kisigino.
Hongera wakulu wote wa JF.
 

Nawaombeni wenzangu, tujitahidi kuiunga mkono JF kwa sisi tujitolee na kufika at least 7,000 within six moths to come!! This much invisible na crew watawezeshwa kwa hali ya juu.

Nawambieni hakuna sehemu unapata taarifa kuhusu nchi yangu na mustakabali wake kama hapa. We should be proud of this jamvi.

Big up the whole team.
 
Mkuu invisible hii kiboko sijawahi kuona Forum yoyote ya Kiswahili tangu niingie kwenye Mtandao wa internet inayopata Hits 45 Millioni itabidi muwe na Moderator wa kutosha Mkuu invisible poleni sana kwa kazi nzito

Kama ingekuwa kila HIT ni mtu mmoja, kwa mwaka JF inatembelewa na zaidi ya nusu ya wakazi wa bara la Afrika. Kwa upande mwingine ndani ya miaka 12 kuanzia mwaka huu idadi ya HITS itakuwa zaidi ya bilioni 6.48 ambayo ni zaidi ya wakazi wa dunia yetu kwa sasa.
 
Si vibaya wakifika hata 10... Kama utaitaji msaada ni PM, nitajitolea.
 
Great achievement.. Congratulations...

Can you pls add gender button too... like blue for Gents and Pink for Ladies? sometimes it is confusing while discussing topic with member by just guessing their genders...

Thank you
 
Ni ukweli usiopingika kwamba wadau wengi wa JF wako dar,kwa mantiki hiyo ni bora uzinduzi huu,uambatane na kuwaalika wanachama wa Dar es Salaam, na wa mikoa jirani hii yaweza kusaidia kwa wanachama tutakaoukutana kuchangia na kujuana kiundani zaidi.
 
Job well done Invisible and your team
Staki kuongea sana as words are just mere bubbles.........
Jamani JF MEMBERS its high time kila mmoja wetu aone umuhimu wa kuchangia JF....kwa hali na mali.
we just enjoy the benefits huku tukisahau cost implications za kuiendesha JF!!!

tafadhali lets stand together as one....
 
Wala husiwe na pressure, kupenda haki ndio tabia yangu, Kutekeleza haki ndio wajibu wangu.

Dah mpaka hapa unakura yangu tayari nitakupigia kura naomba tu uyaongeayo yawe ya kweli.
 
Shukran kwa hilo,pengine itanivutie niwe nahudhuria marakwa mara
 
mkuu nimekusoma vilivyo.nimejikuta nagonga thnx kwa ghafla mno.
Keep it up !!
JF mbeleeX3333
 
Moderators/Administrators wa JF ni hawa:

  1. Ab-Titchaz
  2. Brutus
  3. Silencer
  4. PainKiller
  5. Mtumishi
  6. Invisible
  7. Spiderman
  8. Farida
Nilikuwa nahisi Mbu ni Moderator wa JF. Kwa jinsi alivyoandika katika "thread" fulani na kisha ikafungwa.
 
Shukran kwa hilo,pengine itanivutie niwe nahudhuria marakwa mara

Kama haikuvutii kwa sasa unangoja nini kuchapa mwendo?????
Humu halazimishwi mtu kuwepo/kuingia wala kutoa comments zako.
 
hongereni wakuu kwa kazi mnayofanya, na poleni kwa majukumu yote, hakuna jinsi ya kuwalipa kwa kazi mnayofanya lakini tutasaidiiana pale inapowezekana ili kufanikisha....mengi ya mapendekezo mumeyafanyia kazi inavyoonekana, kwangu suala la CHART room for online registered users ni muhimu sana, kama mumeliweka basi mtakuwa mumefanya kazi ya maana mno....kuhusu TV/redio/newspaper....mimi naona kutokana na jinsi hii forum inavyoendeshwa redio au gazeti ndio ideal, lakini wachangiaji wote wawe wanapeleka contact zao kwa JF (may be we call JF Media) na JF haitadiscslose hizo contacts isipokuwa pale itakapo hitaji kuwasialiana na mhusika katika kupata clarifications.....

otherwise Bravo!!!!
 
Siipatii picha JF TV sijui nayo itakuwa na anonymous system. All in all its a tough work to you all we understand and we do appreciate your efforts. Cheers
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…