Tumebakiza mambo kadhaa; RSS Feeds, Disclaimer, Our Contacts na mengine kama yalivyoandikwa hapa: https://www.jamiiforums.com/content/114-jf-tumerejea-hewani.html tutakuwa tumeyahitimisha kufikia Ijumaa, endapo mna ushauri tafadhali tufahamishe support@jamiiforums.com
Mkuu Kichuguu,Poleni sana viongozi na wataalamu wote wa JF kwa kazi ngumu mliyofanya hadi kufanikisha mradi huu. JF sasa hivi iko cool kwelikweli. Asanteni sana kwa kurudisha kijiwe hiki hewani tena.
I guess invisible, de-melo, silencer, brutus na wengineo nyuma ya JF hamkupata hata nafasi ya kusheherehekea siku yetu ya watanzania (wajinga) April mosi. Support yangu kwa juhudi hizi iko njiani mtaipata baada ya wikiendi hii huko Moneygram - Information zaidi zitafuata kwenye PM zenu next week.