Uzinduzi video mpya ya Diamond - noma sana

Uzinduzi video mpya ya Diamond - noma sana

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Kwanza pesa ya gharama zote imetoka mfukon mwake.
amekodi ukumbi ndani ya Serena hotel Dar,hakuna kiingilio ni kwa invited pekee ambao ni CEOs wa makampuni mbali mbali,watu mashuhuri waandishi na wasanii na baadhi ya watakaoalikwa .
ni watu zaid ya 500 na kila kichwa chakula na vinywaji gharama yake ni dollar 45(elf 80 hiv)
na kila mwandiahi atakayekuwepo atalipwa posho
.Kwa ujumla gharama za hii video mpaka kuzinduliwa ni zaid ya million 70 .
.Heaven on sesert
wcb
 
Chalii ni sooo sana, anawakataje ngada mashololo wa tauuu?
Next time mkifanya mziki mjue ni zaidi ya kuimba na kupasua mamanzi....nyoosha goti chaliangu
 
heaven on desert, hizi news za almasi kunyang'anywa passport ya kusafiria zina ukweli kiasi gani? nimekuliza maana inawezekana uko na dogo hapo pembeni..
 
Last edited by a moderator:
Mtoa post njoo jukwaani n habari ya platnum kusafirisha sembe....

Linapokuja suala la sembe mleta mada hua anajifanya haoni na hua hajibu hata kama yupo online kwa mfano kama sasa hivi mi namwona yupo hapa online ila kapiga kimya.
 
Linapokuja suala la sembe mleta mada hua anajifanya haoni na hua hajibu hata kama yupo online kwa mfano kama sasa hivi mi namwona yupo hapa online ila kapiga kimya.

Shhhhh Amepumzika uploadfromtaptalk1377894318727.jpg
 
Back
Top Bottom