Uzinduzi wa JayDee: NDI NDI NDI kufunika wimbo wa Yahaya na Mtalimbo?

Uzinduzi wa JayDee: NDI NDI NDI kufunika wimbo wa Yahaya na Mtalimbo?

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
13,437
Reaction score
14,927
Binafsi naamini yahaya itafunika tarehe 20 mwezi wa tano kwa kuwa muhusika bwana Yahaya kashatambulika na anajijua, mtalimbo wake Jide kashatwambia umelala na hautainuka mpaka mwana wa Adam atakaporudi, ntashushia na Ndi ndi ndi kisha wanaume kama mabinti itafunga kurasa,
wewe je?
 
Ndi Ndi Ndi lazima ifunike!
Natamani siku hiyo ningekuwa na mwanaJF meza moja ila mmmmhhhh nomazz!
 
ila hyo siku J dee akumbuke kuvaa pampaz maana anaweza kukojozwa mbele ya kadamnasi
 
Ndi ndi ndi... Komando wangu Hide namuaminia hawez kuharibu.. Wanaomchukia wapasuke tu. Penda sana komando bint machoz.[emoji12]
 
Atumie jukwaa siku hiyo kwa kufanya kazi yake ya muziki itakua bora sana maana kwa kukurupuka tu yuko vizuri akijichanganya tena yule mhuni atagonga bapa 1 na atatumia dakika 3 kutoa remix ya KUKOJOZWA watu washachoka tena.
 
Back
Top Bottom