Tutakuwa pamojaNdi Ndi Ndi lazima ifunike!
Natamani siku hiyo ningekuwa na mwanaJF meza moja ila mmmmhhhh nomazz!
Ha! Na kisha mtu mwenyewe Mwanga jina mpaka maswali.Acha ukichaa wewe... Miaka yake na kazi anayo fanya vina uhusiano gani.... Kaeleweka tunamfuatilia... Weka ujuha pembeni.... Mjinga wewe
Hivi Jide ana miaka mingapi?
37. Alizaliwa Septemba 1979
Tutakuwa pamoja