Uzinduzi wa Kampeni ya matembezi ya hiari kufanyika Februari 2021

Kuna wakati huwa nafikiria wafuasi wa vyama vya upinzani mna utindio wa ubongo. Watu walishindwa kutokea baada ya tamko la Lissu la kuandamana aliyekuwa na nyomi la wafuasi nchi nzima wajitokeze kwa ajili ya huyu Askofu njaa!??... Hivi kuanzia UKUTA, Mange Kimambi na Lissu tarehe 2 November 2020 bado hamjawajua vizuri watanzania!??... Nasisitiza nyie ni WAPUMBAVU.
 
Nmekumbuka lile gazeti la sani - HARAKATI ZA PIMBI
 
Kweli kabisa, japo naona Mambosasa ameshaanza kumuwinda mtumishi wa Bwana. Kaanza kwa kuzuia jogging clubs!!!
Ni mpuuzi sana, jogging tangu lini ikazuia watu wasiswali au kwenda kanisani kusali.?
 
Reactions: BAK
Hawa watu wamezuia jogging tu, sasa itakuwa matembezi ya hiari? It won’t happen. Au watu wenyewe kwa hiari yao watagoma kutoka nje kuhofia vipigo vya polisi
Watu tupo tayari kwa 100%
 
Na lengo la hizosarakasi za Mamboleo ni juu ya mchungaji tu
Sipati picha kwa idadi ya Maaskofu, Manabii & Wachungaji waliopo Tz, nao wangeamua kusimama upande wa haki. Mapema sana historia ingeandikwa. Lakini wengi wao ni wanafiki na wapigaji.
 
Tuko pamoja. Tutashiriki.
 
Reactions: BAK
Mbona hii ilishafeli..!
 
Mkuu hatuwezi kuona mtu mmoja anaichafua Nchi yetu na sisi kuamua kujikunyata kama vile hatuna uchungu na nchi yetu na maovu yote yaliyokithiri sisi hayatuhusu, vinginevyo vizazi vyetu vijavyo vitatucheka na kutuona wapumbavu.
Mkuu BAK mbona unataka mfalme juha leo asinywe chai kwa raha zake?
 
Mkuu hatuwezi kuona mtu mmoja anaichafua Nchi yetu na sisi kuamua kujikunyata kama vile hatuna uchungu na nchi yetu na maovu yote yaliyokithiri sisi hayatuhusu, vinginevyo vizazi vyetu vijavyo vitatucheka na kutuona wapumbavu.
Hakika
 
Reactions: BAK
Kwa taarifa yako tupo, anaweza asipate watu wengi sana hasa hapa mwanzoni kutokana na hofu watu waliyojengewa, ila nakuhakikishia watu tupo bila kujali idadi yetu.
Kwanini hatukuandamana kupinga matokeo pamoja na hisia kali tulizokuwa nazo za mabadiliko leo Ni nini kitawahamasisha watu zaidi ya uchanguzi uliopita ili wawe na nguvu ya kuweza kutoka na kuandamana
 
Kwanini hatukuandamana kupinga matokeo pamoja na hisia kali tulizokuwa nazo za mabadiliko leo Ni nini kitawahamasisha watu zaidi ya uchanguzi uliopita ili wawe na nguvu ya kuweza kutoka na kuandamana
Hao watu hawana ubongo. We subiri utaona February inapita kimyaa, mwanzo walisema January. Kila mwezi wanasogeza mbele.
 
Kwanini hatukuandamana kupinga matokeo pamoja na hisia kali tulizokuwa nazo za mabadiliko leo Ni nini kitawahamasisha watu zaidi ya uchanguzi uliopita ili wawe na nguvu ya kuweza kutoka na kuandamana

Watu bado wana uoga wa kuuliwa, maana kwa vyovyote vile watu wangeandamana ni lazima wangeuwawa. Kumbuka kabla hata ya kuandamana watu waliuliwa. Kwakuwa watu wana hofu, na wengi wamepuuza mambo ya siasa na hamasa iko chini kunaweza kusiwe na mwitikio mkubwa, lakini huo ni mwanzo mzuri na lazima kutatokea matokeo chanya kadiri muda unavyoenda, kwani watu hawatajitokeza tena kupiga kura kama ilivyokuwa uchaguzi uliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…