Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Huu ndio wakati muafaka wa kukichapa ili tuone level ya kufikiri ujanani mwako ni sawa na hawa vijana wa leo?Kuna kitabu nilikiandika wayback 1995 Ila sikuwahi kukichapa kinaitwa THE BOOK OF THIEVES...!
Mfano hapo katika Andiko nimeona kuwa tungejenga uwekezaji wa Nyama Kama ilivyokuwa mwanzo tungeongeza ajira na kukuza uchumi.Mwamposa ni Kama zilivyo simba na Yanga Kazi ni kufanya manipulation.
Mfano hapo katika Andiko nimeona kuwa tungejenga uwekezaji wa Nyama Kama ilivyokuwa mwanzo tungeongeza ajira na kukuza uchumi.
Ila tumeamua kujenga hema ili watu wasiokuwa na ajira waande kuombewa ili wapate ajira.
Double standard.
Na kwanini hawa watumishi wanakuwa Embraced na Serikali ?
Jibu linabaki lile kuwa lengo nikuipumbaza jamii.
Mfano kipindi hiki ambacho ligi kuu ya Tanzania imesimama kuna utulivu mkubwa wa watu kufatilia mambo ya msingi hata kesi ya Lissu imekuwa inafatiliwa Sana n.k
Mwamposa ni wakala Kama ilivyo yanga na simba.
Ningekipata ningesoma una mtililiko mzuri sana wa uandishi.Kuna kitabu nilikiandika wayback 1995 Ila sikuwahi kukichapa kinaitwa THE BOOK OF THIEVES...!
Oh asante.Tafuta Mtanzania ya wakati ule safu ya SHUSHA PUMZI kila Jumamosi utaniona sana pale... Niliandika sana. Ila uzuri kipindi kile usalama ulikuwa mwingi
Amekwenda kusafisha nyota Comoro kwa kuchinja ngamia.Tuna Rais kilaza sana awamu hii, sijui Mungu ataamuaje huu ugomvi?!.
Nitatafuta nizisome.zina mafundishoMakala zangu zilikuwa Mtanzania safu ya SHUSHA PUMZI
Nina kushukuru sanaNitakupa headings
Lakini,tungeendeleaje kuleta ng'ombe mjini kati,wachungwe katika malisho ndiyo waingizwe kuchinjwa?Hatuoni Kwamba tungeleta ghasia za uchafuzi wa mazingira,hewa na tishio kwa usalama wa watu wa eneo la karibu?Vipi kuhusu usafi wa machinjio/kiwanda kwa takangumu,damu iliyooza na harufu Kali ya "madawa" ukijumlisha na kelele za mitambo?Usisahau moshi utakaotoka kiwandani.(Nilimsikia chawa mmoja akisema hayo huku anahemea juujuu kwa kushiba ubwabwa na juisi).Mfano hapo katika Andiko nimeona kuwa tungejenga uwekezaji wa Nyama Kama ilivyokuwa mwanzo tungeongeza ajira na kukuza uchumi.
Ila tumeamua kujenga hema ili watu wasiokuwa na ajira waande kuombewa ili wapate ajira.
Kichape MshanaKuna kitabu nilikiandika wayback 1995 Ila sikuwahi kukichapa kinaitwa THE BOOK OF THIEVES...!