Uzinduzi wa kanisa la Mwamposa na maswali ya kujiuliza

Serikali yote inakusanyika kuzindua hema la Maombi serikali za Afrika tunasafari ndefu sana
Aliyeandika hili andiko amefikiria vyema Sana na kufanya uchambuzi mzuri wenye fact and not opinion

Walichofanya Jana Dunia nzima imewashangaa kwakweli
 
Kila karata mama anayocheza ni Galasa, asipo kuwa makini watu watamweka chini.
 
Vingunguti.
 
Hizi chanjo tunazochomwa udogoni zichunguzwe

Nahisi Kuna kitu zinafanya Zaidi ya kinga tuliyoaminishwa, maana si kwa hali tuliyonayo tunapaswa kuhurumiwa sana, tena sana kabisa
Kuna siku nilizuia hii asichomwe mtoto wangu ..unaambiwa ullitwa Hadi uongozi wa hospitali
 
Mshana Jr mi binafasi Nyerere naona alikuwa hana uelewa wa uchumi ndiyo maana kwenye hilo eneo tusimuite baba wa taifa, baba wa taifa bado hajazaliwa. Nyerere alivuruga mifumo ya uchumi na elimu ambayo ndiyo misingi ya maendeleo
 
Hii ni Picha ya Archtecture tunaomba picha halisi ya jumba hilo
 
Leo Tanganyika Packers watu ndiyo kondoo na wanajipekeka wenyewe machinjioni. Wananyweshwa maji na kulishwa udongo wakielezwa ni UPAKO.
Mshana statement hii ina sauti ya uungu ndani. Sijui kama ni coincidence tu au vipi? Huenda walikuwa madhabahuni. Will sacrifice speak good? Waiting for the testimony.
 
Mimi kila siku nasema, Nyerere alitukosea pa kubwa sana. Haya yanayoendelea yote yalisababishwa na Nyerere.
 
Hivi kufufua hicho kiwanda inazidi bil 15 kweli?
 
Hivi private sector au public sector zenye pesa kama NPF walishindwa kununua hicho kiwanda na kukianzisha upya kuliko huu utani wa maji ya upako, soko lipo kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…