Uzinduzi wa kanisa la Mwamposa na maswali ya kujiuliza

Hivi private sector au public sector zenye pesa kama NPF walishindwa kununua hicho kiwanda na kukianzisha upya kuliko huu utani wa maji ya upako, soko lipo kubwa sana
Kupanga ni kuchagua.. Tumeamua kuchagua siasa badala ya taaluma
 
Masikitiko makubwa!
 
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Nmejiuliza sana hakuna tajiri mzalendo yoyote ambaye hakupendelea kufufua kiwanda Hilo eneo au kujenga kiwanda kingine?
Watu wapo wengi sana wanaotamani kufanya mabadiliko katika hivyo viwanda vya zamani. Tatizo linakuja katika uwongozi au serikali na kama tujuavyo urasimu uliopo serikalini. Huwezi fungua kanisa eneo lilipokuwa kiwanda alafu baadae ukasema wewe ni mdau wa maendeleo na watu wakakuelewa
 
Andiko lako zuri lakini jua ni wakati wa uchaguzi.
 
Nchi hii ni usanii kila uchao!
No reform no election ni muhimu mno ili tuweze kutoka hapa tulipo!
Tupo ktk wakati mgumu sana sana kama Taifa, Mola atusaidie na tufunge na kusali sana.
 
Mama Samia ni chombo cha neema kwa Tanzania — uongozi wake ni taa ya matumaini, dira ya maendeleo na alama ya hekima. 2030 tupo tayari
 
Tulishindwa kumuelewa Lowassa alipokuwa anaimba ELIMU ELIMU ELIMU.

Aliekuwa juu kabisa hana elimu ya kutosha kuweza kufanya tathmini ya mambo kiasi kwamba anaburuzwa kama gari bovu.
 
Tupe detail za Kisomi Mkuu,

Je Icho Kiwanda wakati Huo Kulikuwa Kuna Lipa Kodi Kiasi Gani?

Na Sasa Kabisa La Mwamposa Lina Lipa Kodi Kiasi Gani?

Apo ndio Utajua Umuhimu wa Lile Kabisa Pale, Pia Fikilia wasafilishaji Wanavyo pata fedha nyingi Kwa kuwasafilisha ao watu wote Kila jumapili.

Pia Ajira za Viwandani Mara Nyingi Ni Zaunyonyoji.

Jaribu Kufikilia Zaidi.
 
Kodi itakayolipwa ni ZERO,makanisa hayalipi kodi, usafilishaji utaongezeka kwa gharama kubwa ya kuongezeka kwa foleni na uhalibifu wa miundo mbinu
 
Ulivyoandika nilijua ni wewe kumbe martini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…