Uzinduzi wa kanisa la Mwamposa na maswali ya kujiuliza

binti kiziwi
 
Kodi itakayolipwa ni ZERO,makanisa hayalipi kodi, usafilishaji utaongezeka kwa gharama kubwa ya kuongezeka kwa foleni na uhalibifu wa miundo mbinu
Una Uwakika Lile Kanisa La Mwamposa Alilipi Ushuru Kwa Kulitumia Lile Eneo?

Fatilia Mkubwa Opportunity Zinavo Ongezeka Watu Wakikusanyika Sehemu Moja Utanielewa.

Auja Soma Kwenye History Mambo Ya Effect of Migration.
 
Sina uhakika ila Taasisi za kidini hazilipi kodi, opportunity zitakuwepo lakini hazitafikia kama mradi wa maana ungewekwa badala ya kanisa
 
So nilisikia hapo wana jenga zile Arena 2 kwa mko wa Dar es Salaam moja ingetakiwa iwe KAWE na nyingine maeneo ya MBEZI kimara, wakati nyingine ingejengwa Dodoma.
Sasa wame fikia wapi kuhusu hizo Arena ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…