Uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Muungano

chamakh

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,075
Reaction score
1,343
Leo Serikali ya JMT imezindua kitabu chenye historia mpya ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kitabu hicho pia kimeeleza chimbuko la vuguvugu la kudai Uhuru wa nchi hizo tangu miaka ya 1920s

Bila shaka Mzee wetu Mohamed Said ameshiriki ipasavyo. Hatutegemei kusikia malalamiko ya kupindishwa kwa historia yetu
 
Wanatuandaa na kitu GANI hasa!!?Leo Ndio wazindue kitabu cha HISTORIA ya muungano!Labda kuna jambo tunajiandaa nalo!
 
Leo Serikali ya JMT imezindua kitabu chenye historia mpya ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kitabu hicho pia kimeeleza chimbuko la vuguvugu la kudai Uhuru wa nchi hizo tangu miaka ya 1920s

Bila shaka Mzee wetu Mohamed Said ameshiriki ipasavyo. Hatutegemei kusikia malalamiko ya kupindishwa kwa historia yetu
Historia mpya ni pale unapoacha hali halisi na kubuni yako, humo watakuwemo ambao walikuwa hawajazaliwa.
 
Leo Serikali ya JMT imezindua kitabu chenye historia mpya ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kitabu hicho pia kimeeleza chimbuko la vuguvugu la kudai Uhuru wa nchi hizo tangu miaka ya 1920s

Bila shaka Mzee wetu Mohamed Said ameshiriki ipasavyo. Hatutegemei kusikia malalamiko ya kupindishwa kwa historia yetu

Yaani history mpya? Kumbe kuna ya zamani
 
Leo Serikali ya JMT imezindua kitabu chenye historia mpya ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kitabu hicho pia kimeeleza chimbuko la vuguvugu la kudai Uhuru wa nchi hizo tangu miaka ya 1920s

Bila shaka Mzee wetu Mohamed Said ameshiriki ipasavyo. Hatutegemei kusikia malalamiko ya kupindishwa kwa historia yetu
Napataje nakala ya hiko kitabu nipitie pitie???
 
Back
Top Bottom