Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameyataka Mashirika Yanayosimamia sekta ya umeme kushusha bei kutoka Senti 8.5 Hadi Senti 5 za Dola Ili Kuchochea Sekta ya Viwanda..
Nanukiu'Hatuwesi kujadili kuondoa umaskini wakati bei ya umeme Iko juu'
Alikuwa akizungumza kwenye uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Kikagati-Morogo 14 megawatt ambao ulizinduliwa Kwa pamoja na Rais Samia..
My Take
Museveni kichwani Bado Yuko fiti sana.