Uzinduzi wa mwendokasi Tanzania

Dhana hapo sio kuzindua nguzo mkuu, ebu jiongeze!
mm sipingani na huo uzinduzi ila kinachoniumiza kichwa kulikuwa hakuna kituo kikubwa cha kupooza na kusambaza huo umeme hapo kijijini au hio nguzo moja ndo itahudumia kijijini kizima?
 
Wakikujibu nitag. 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…